- 
Bidhaa zinasafirishwa kutoka ghala letu jijini Dar es Salaam 
- 
Tunatoa huduma ya usafirishaji kwa wateja wote nchini Tanzania 
- 
Agizo lako litafika ndani ya saa 24 hadi 48 
- 
Unalipa wakati unapokea bidhaa (Cash on Delivery) 
- 
Utapokea ujumbe au simu ya kuthibitisha oda kabla ya kuwasilishwa